Numbers 11:10
Mose akasikia watu wa kila jamaa wakilia, kila mmoja kwenye mlango wa hema lake. Bwana akakasirika mno, naye Mose akafadhaika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Umande ulipoanguka kambini wakati wa usiku, pia mana ilianguka pamoja nao.
Cross References
Numbers 11:1Basi watu wakalalamika kwa habari ya taabu zao masikioni mwa Bwana, naye alipowasikia, hasira yake ikawaka. Ndipo moto kutoka kwa Bwana ukawaka miongoni mwao na kuteketeza baadhi ya viunga vya kambi.
Numbers 12:9Hasira ya Bwana ikawaka dhidi yao, akawaacha.
Numbers 16:27Hivyo wakaondoka karibu na mahema ya Kora, Dathani na Abiramu. Dathani na Abiramu walikuwa wametoka nje, nao walikuwa wamesimama pamoja na wake zao, watoto wao na wale wanyonyao kwenye mlango wa mahema yao.
Numbers 21:5wakamnungʼunikia Mungu na Mose, wakisema, “Kwa nini umetupandisha kutoka Misri ili tufe jangwani? Hakuna mkate! Hakuna maji! Nasi tunachukia sana chakula hiki duni!”
Psalms 78:21Bwana alipowasikia, alikasirika sana, 2 moto wake ukawa dhidi ya Yakobo, 2 na ghadhabu yake ikawaka dhidi ya Israeli, 1
Psalms 106:25Walinungʼunika ndani ya mahema yao, 2 wala hawakumtii Bwana. 1