Numbers 12:7
Lakini sivyo kwa mtumishi wangu Mose; 2 yeye ni mwaminifu katika nyumba yangu yote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
My servant Moses is not so, who is faithful in all mine house.
In Context
Cross References
Exodus 33:11Bwana angezungumza na Mose uso kwa uso, kama vile mtu azungumzavyo na rafiki yake. Kisha Mose angerudi kambini, lakini msaidizi wake kijana Yoshua mwana wa Nuni hakuondoka mle Hemani. 1 Mose Na Utukufu Wa Bwana
Joshua 1:1Baada ya kifo cha Mose mtumishi wa Bwana, Bwana akamwambia Yoshua mwana wa Nuni, msaidizi wa Mose:
Matthew 11:9Basi mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona nabii? Naam, nawaambia, yeye ni zaidi ya nabii.
Acts 3:22Kwa maana Mose alisema, ‘Bwana Mungu wenu atawainulia nabii kama mimi kutoka miongoni mwa ndugu zenu. Itawapasa kumtii huyo kwa kila jambo atakalowaambia.
1 Corinthians 4:2Tena, litakiwalo ni mawakili waonekane kuwa waaminifu.
Hebrews 3:2Alikuwa mwaminifu kwa yeye aliyemweka, kama vile Mose alivyokuwa mwaminifu katika nyumba yote ya Mungu.