Numbers 12:6
Bwana akasema, “Sikilizeni maneno yangu: 1 “Akiwapo nabii wa Bwana miongoni mwenu, 2 nitajifunua kwake kwa maono, 2 nitanena naye katika ndoto. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Lakini sivyo kwa mtumishi wangu Mose; 2 yeye ni mwaminifu katika nyumba yangu yote. 1
Cross References
Genesis 15:1Baada ya jambo hili, neno la Bwana likamjia Abramu katika maono: 1 “Usiogope, Abramu. 2 Mimi ni ngao yako, 2 na thawabu yako kubwa sana.”
Genesis 28:12Akaota ndoto ambayo aliona ngazi imesimamishwa juu ya ardhi, ncha yake ikiwa imefika mbinguni na malaika wa Mungu wakawa wakipanda na kushuka juu yake.
Genesis 31:10“Wakati fulani majira ya kuzaliana niliota ndoto ambayo niliinua macho na kuona kwamba wale mabeberu waliokuwa wakipanda kundi walikuwa wa mistari, madoadoa na mabakabaka.
Genesis 37:9Kisha akaota ndoto nyingine, akawaambia ndugu zake akisema, “Sikilizeni, nimeota ndoto nyingine, wakati huu jua, mwezi na nyota kumi na moja zilikuwa zinanisujudia.”
Exodus 7:1Kisha Bwana akamwambia Mose, “Tazama, nimekufanya kuwa kama Mungu kwa Farao, naye Aroni, huyo ndugu yako, atakuwa nabii wako.
Deuteronomy 18:18Nitawainulia nabii kama wewe kutoka miongoni mwa ndugu zao; nitaweka maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia kila kitu nitakachomwamuru.