Numbers 13:11
kutoka kabila la Manase (kabila la Yosefu), Gadi mwana wa Susi; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of the tribe of Joseph, namely, of the tribe of Manasseh, Gaddi the son of Susi.
In Context
10kutoka kabila la Zabuloni, Gadieli mwana wa Sodi, 1
12kutoka kabila la Dani, Amieli mwana wa Gemali; 1
Cross References
Genesis 48:20Akawabarikia siku ile na kusema, 1 “Kwa jina lenu Israeli watatamka baraka hii: 2 ‘Mungu na awafanye kama Efraimu na Manase.’ ” Kwa hiyo akamtanguliza Efraimu mbele ya Manase.