The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 13 › Numbers 13:6

Numbers 13:6

kutoka kabila la Yuda, Kalebu mwana wa Yefune; 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Of the tribe of Judah, Caleb the son of Jephunneh.

In Context

5kutoka kabila la Simeoni, Shafati mwana wa Hori; 1

7kutoka kabila la Isakari, Igali mwana wa Yosefu; 1

Read all of Numbers 13

Cross References

Numbers 14:6Yoshua mwana wa Nuni na Kalebu mwana wa Yefune, waliokuwa miongoni mwa watu wale waliokwenda kuipeleleza nchi, wakararua nguo zao,

Numbers 14:30Hakuna hata mmoja wenu atakayeingia katika nchi niliyoapa kwa mkono ulioinuliwa kuwa makao yenu, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune, na Yoshua mwana wa Nuni.

Numbers 26:65Kwa maana Bwana alikuwa amewaambia hao Waisraeli hakika wangekufa huko jangwani, wala hakuna mmoja wao aliyeachwa, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune na Yoshua mwana wa Nuni.

Numbers 34:19Haya ndiyo majina yao: 1 “Kalebu mwana wa Yefune, 2 kutoka kabila la Yuda; 1

Joshua 14:6Kisha watu wa Yuda wakamwendea Yoshua huko Gilgali, naye Kalebu mwana wa Yefune yule Mkenizi, akamwambia, “Unajua jambo ambalo Bwana alimwambia Mose mtu wa Mungu huko Kadesh-Barnea kukuhusu wewe na mimi.

Judges 1:12Kalebu akasema, “Nitamwoza binti yangu Aksa kwa mtu atakayeweza kupigana na kuteka Kiriath-Seferi.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 13:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 13:5Numbers 13Numbers 13:7 →