Hesabu 34:19
Haya ndiyo majina yao: 1 “Kalebu mwana wa Yefune, 2 kutoka kabila la Yuda; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the names of the men are these: Of the tribe of Judah, Caleb the son of Jephunneh.
In Context
18Tena uteue kiongozi mmoja kutoka kila kabila kusaidia kuigawanya nchi.
20Shemueli mwana wa Amihudi, 2 kutoka kabila la Simeoni; 1
Cross References
Genesis 29:35Akapata tena mimba, naye alipozaa mwana, akasema, “Wakati huu nitamsifu Bwana.” Kwa hiyo akamwita Yuda. + 29:35 Yuda maana yake Sifa, yaani Nitamsifu Yehova. Kisha akaacha kuzaa watoto.
Genesis 35:23Wana wa Lea walikuwa: 2 Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, 2 Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari na Zabuloni. 1
Numbers 13:6kutoka kabila la Yuda, Kalebu mwana wa Yefune; 1
Numbers 14:6Yoshua mwana wa Nuni na Kalebu mwana wa Yefune, waliokuwa miongoni mwa watu wale waliokwenda kuipeleleza nchi, wakararua nguo zao,
Numbers 14:30Hakuna hata mmoja wenu atakayeingia katika nchi niliyoapa kwa mkono ulioinuliwa kuwa makao yenu, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune, na Yoshua mwana wa Nuni.
Numbers 26:65Kwa maana Bwana alikuwa amewaambia hao Waisraeli hakika wangekufa huko jangwani, wala hakuna mmoja wao aliyeachwa, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune na Yoshua mwana wa Nuni.