Numbers 14:11
Bwana akamwambia Mose, “Watu hawa watanidharau mpaka lini? Wataendelea kukataa kuniamini mimi mpaka lini, ingawa nimetenda ishara za miujiza miongoni mwao?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 16:28Ndipo Bwana akamwambia Mose, “Je, mtaacha kushika maagizo na maelekezo yangu mpaka lini?
Numbers 14:23hakuna hata mmoja wao atakayeona nchi niliyowaahidi baba zao kwa kiapo. Hakuna hata mmoja ambaye amenidharau atakayeiona.
Deuteronomy 1:32Pamoja na hili, hamkumtegemea Bwana Mungu wenu,
Deuteronomy 9:22Pia mlimkasirisha Bwana huko Tabera, Masa na Kibroth-Hataava.
Psalms 78:32Licha ya haya yote, waliendelea kutenda dhambi, 2 licha ya maajabu yake, hawakuamini. 1
Psalms 95:8msiifanye mioyo yenu migumu 2 kama mlivyofanya kule Meriba, + 95:8 Meriba maana yake ni Kugombana. 1 kama mlivyofanya siku ile 2 kule Masa + 95:8 Masa maana yake ni Kujaribiwa. jangwani, 1