Numbers 14:21
Hata hivyo, kwa hakika kama niishivyo, na kwa hakika kama utukufu wa Bwana uijazavyo dunia yote,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But as truly as I live, all the earth shall be filled with the glory of the LORD.
In Context
20Bwana akajibu, “Nimewasamehe kama ulivyoomba.
Cross References
Deuteronomy 32:40Ninainua mkono wangu kuelekea mbinguni na kusema: 2 Hakika kama niishivyo milele, 1
Psalms 72:19Jina lake tukufu lisifiwe milele, 2 ulimwengu wote ujae utukufu wake. Amen na Amen. 1
Isaiah 49:18Inua macho yako ukatazame pande zote: 2 wana wako wote wanakusanyika na kukujia. 1 Kwa hakika kama vile niishivyo, 2 utawavaa wote kama mapambo, 1 na kujifunga nao kama bibi arusi,” 2 asema Bwana. 1
Ezekiel 5:11Kwa hiyo hakika kama niishivyo, asema Bwana Mwenyezi, kwa kuwa mmenajisi mahali pangu patakatifu kwa sanamu zenu mbaya sana na desturi zenu za machukizo, mimi mwenyewe nitaondoa fadhili zangu kwenu.
Ezekiel 20:36Kama nilivyowahukumu baba zenu katika jangwa la nchi ya Misri, ndivyo nitakavyowahukumu ninyi, asema Bwana Mwenyezi.
Ezekiel 33:27“Waambie hivi: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Hakika kama niishivyo, wale waliobaki katika magofu wataanguka kwa upanga, wale walio nje mashambani nitawatoa wararuliwe na wanyama pori, nao wale walio katika ngome na kwenye mapango watakufa kwa tauni.