Numbers 15:40
Ndipo mtakumbuka kuzitii amri zangu zote nanyi mtawekwa wakfu kwa Mungu wenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That ye may remember, and do all my commandments, and be holy unto your God.
In Context
41Mimi Ndimi Bwana Mungu wenu, niliyewatoa Misri niwe Mungu wenu. Mimi Ndimi Bwana Mungu wenu.’ ”
Cross References
Leviticus 11:44Mimi ndimi Bwana Mungu wenu; jitakaseni mwe watakatifu, kwa sababu mimi ni mtakatifu. Msijitie unajisi wenyewe kwa kiumbe chochote kile kiendacho juu ya ardhi.
Psalms 103:18kwa wale walishikao agano lake 2 na kukumbuka kuyatii mausia yake. 1
Ephesians 1:4Kwa maana alituchagua katika yeye kabla ya kuumbwa ulimwengu ili tuwe watakatifu na bila lawama mbele zake. Kwa upendo
1 Thessalonians 4:7Kwa maana Mungu hakutuitia uchafu, bali utakatifu.