The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 16 › Numbers 16:26

Numbers 16:26

Mose akalionya kusanyiko, “Sogeeni nyuma mbali na mahema ya hawa watu waovu! Msiguse kitu chochote kilicho mali yao, la sivyo mtafagiliwa mbali kwa sababu ya dhambi zao zote.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he spake unto the congregation, saying, Depart, I pray you, from the tents of these wicked men, and touch nothing of theirs, lest ye be consumed in all their sins.

In Context

25Mose akainuka na kuwaendea Dathani na Abiramu, nao wazee wa Israeli wakafuatana naye.

27Hivyo wakaondoka karibu na mahema ya Kora, Dathani na Abiramu. Dathani na Abiramu walikuwa wametoka nje, nao walikuwa wamesimama pamoja na wake zao, watoto wao na wale wanyonyao kwenye mlango wa mahema yao.

Read all of Numbers 16

Cross References

Genesis 19:12Wale watu wawili wakamwambia Loti, “Una mtu mwingine yeyote hapa, wakwe zako, wana au binti, ama yeyote mwingine aliye wako katika mji huu? Waondoe hapa,

Deuteronomy 13:17Hakuna kimoja kati ya vitu vilivyolaaniwa kitakachokutwa mikononi mwenu, ili Bwana ageuze hasira yake kali. Atawahurumia na kuwa na rehema kwenu pia kuongeza idadi yenu, kama alivyowaahidi baba zenu,

Jeremiah 51:6“Kimbieni kutoka Babeli! 2 Okoeni maisha yenu! 2 Msiangamizwe kwa sababu ya dhambi zake. 1 Ni wakati wa kisasi cha Bwana, 2 atamlipa kile anachostahili. 1

Acts 8:20Petro akamjibu, “Fedha yako na iangamie pamoja nawe, kwa sababu ulidhani unaweza kununua karama ya Mungu kwa fedha!

2 Corinthians 6:17“Kwa hiyo tokeni miongoni mwao, 2 mkatengwe nao, 4 asema Bwana. 1 Msiguse kitu chochote kilicho najisi, 2 nami nitawakaribisha.” 1

Revelation 18:4Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema: 1 “Tokeni katikati yake, enyi watu wangu, 2 ili msije mkashiriki dhambi zake, 2 ili msije mkapatwa na pigo lake lolote; 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 16:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 16:25Numbers 16Numbers 16:27 →