bible.software › Numbers › Numbers 16 › Numbers 16:27
Numbers 16:27
Hivyo wakaondoka karibu na mahema ya Kora, Dathani na Abiramu. Dathani na Abiramu walikuwa wametoka nje, nao walikuwa wamesimama pamoja na wake zao, watoto wao na wale wanyonyao kwenye mlango wa mahema yao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So they gat up from the tabernacle of Korah, Dathan, and Abiram, on every side: and Dathan and Abiram came out, and stood in the door of their tents, and their wives, and their sons, and their little children.
In Context
26Mose akalionya kusanyiko, “Sogeeni nyuma mbali na mahema ya hawa watu waovu! Msiguse kitu chochote kilicho mali yao, la sivyo mtafagiliwa mbali kwa sababu ya dhambi zao zote.”
28Ndipo Mose akasema, “Hivi ndivyo mtakavyojua kuwa Bwana amenituma kufanya mambo haya, na kwamba halikuwa wazo langu.
Read all of Numbers 16
Cross References
2 Kings 9:30Kisha Yehu akaenda Yezreeli. Yezebeli aliposikia habari hii, akayapaka macho yake rangi, akatengeneza nywele zake na kutazama nje dirishani.
Job 40:10Basi jivike mwenyewe utukufu na fahari, 2 nawe uvae heshima na enzi. 1
Proverbs 18:12Kabla ya anguko moyo wa mtu hujaa kiburi, 2 bali unyenyekevu hutangulia heshima. 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 16:27