bible.software › Numbers › Numbers 16 › Numbers 16:31
Numbers 16:31
Mara Mose alipomaliza kusema haya yote, ardhi iliyokuwa chini yao ikapasuka,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it came to pass, as he had made an end of speaking all these words, that the ground clave asunder that was under them:
In Context
30Lakini ikiwa Bwana ataleta jambo jipya kabisa, ardhi ikifunua kinywa chake na kuwameza wao, pamoja na kila kitu kilicho mali yao, nao washuke chini kaburini + 16:30 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. wakiwa hai, ndipo mtafahamu kuwa watu hawa wamemdharau Bwana.”
32nchi ikafunua kinywa chake na kuwameza wao, pamoja na jamaa zao, na watu wote wa Kora na mali zao zote.
Read all of Numbers 16
Cross References
Numbers 27:3“Baba yetu alikufa jangwani. Hakuwa miongoni mwa wafuasi wa Kora, ambao walifungamana pamoja dhidi ya Bwana, lakini alikufa kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe na hakuacha wana.
Psalms 106:17Ardhi ilifunguka ikawameza Dathani, 2 ikawazika Abiramu na kundi lake. 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 16:31