Numbers 16:30
Lakini ikiwa Bwana ataleta jambo jipya kabisa, ardhi ikifunua kinywa chake na kuwameza wao, pamoja na kila kitu kilicho mali yao, nao washuke chini kaburini + 16:30 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. wakiwa hai, ndipo mtafahamu kuwa watu hawa wamemdharau Bwana.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31Mara Mose alipomaliza kusema haya yote, ardhi iliyokuwa chini yao ikapasuka,
Cross References
Job 31:3Je, si uharibifu kwa watu waovu, 2 maangamizi kwa wale watendao mabaya? 1
Isaiah 28:21Bwana atainuka kama alivyofanya kwenye Mlima Perasimu, 2 ataghadhibika kama alivyofanya katika Bonde la Gibeoni: 1 ili kufanya kazi yake, kazi yake ya ajabu, 2 ili kutimiza kazi yake, kazi yake ngeni. 1
Isaiah 45:7Mimi ninaumba nuru na kuhuluku giza, 2 ninaleta mafanikio na kusababisha maafa. 2 Mimi, Bwana, huyatenda haya yote. 1
Jeremiah 31:22Utatangatanga hata lini, 2 ee binti usiye mwaminifu? 1 Bwana ameumba kitu kipya duniani: 2 mwanamke atamlinda mwanaume.”