Numbers 16:48
Aroni akasimama kati ya waliokuwa hai na waliokufa, nayo tauni ikakoma.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he stood between the dead and the living; and the plague was stayed.
In Context
Cross References
Numbers 16:18Kwa hiyo kila mtu akachukua chetezo chake, akaweka moto na uvumba ndani yake, na kusimama pamoja na Mose na Aroni kwenye mlango wa Hema la Kukutania.
Numbers 25:8akamfuata yule Mwisraeli ndani ya hema. Akawachoma mkuki wote wawili kwa pamoja, ukapenya kwenye mwili wa yule Mwisraeli na mwili wa yule mwanamke. Ndipo tauni iliyokuwepo dhidi ya Waisraeli ikakoma.
2 Samuel 24:25Kisha Daudi akamjengea Bwana madhabahu mahali hapo, na kutoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani. Kisha Bwana akajibu kwa ajili ya nchi, nayo tauni ikakoma katika Israeli.
Psalms 106:30Lakini Finehasi alisimama na kuingilia kati, 2 nayo tauni ikazuiliwa. 1
1 Thessalonians 1:10na ili kumngojea Mwanawe kutoka mbinguni, ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu: yaani, Yesu, yeye aliyetuokoa kutoka ghadhabu inayokuja.
Hebrews 7:24Lakini kwa sababu Yesu anaishi milele, anao ukuhani wa kudumu.