Numbers 17:8
Siku iliyofuata Mose aliingia kwenye Hema la Ushuhuda akaona ile fimbo ya Aroni ambayo iliwakilisha jamaa ya Lawi haikuwa tu imechipuka, bali pia ilikuwa imetoa machipukizi, kuchanua maua na kuzaa malozi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Mose akaziweka hizo fimbo mbele za Bwana ndani ya Hema la Ushuhuda.
Cross References
Genesis 40:10nao mzabibu ulikuwa na matawi matatu. Mara tu ulipoanza kuchipua, maua yalichanua na vishada vyake vikawa zabibu zilizoiva.
Psalms 110:2Bwana ataeneza fimbo yako ya utawala yenye nguvu kutoka Sayuni; 2 utatawala katikati ya adui zako. 1
Song of Solomon 2:3Kama mti wa mtofaa miongoni mwa miti ya msituni 2 ndivyo alivyo mpenzi wangu 2 miongoni mwa wanaume vijana. 1 Ninafurahia kuketi kivulini mwa mwanaume huyu, 2 na tunda lake ni tamu kwangu. 1
Ezekiel 17:24Miti yote ya kondeni itajua kuwa Mimi Bwana ninaishusha miti mirefu na kuikuza miti mifupi kuwa miti mirefu. Mimi naikausha miti mibichi na kuifanya miti mikavu istawi. “ ‘Mimi Bwana nimesema, nami nitatenda.’ ”
Ezekiel 19:14Moto ulienea kuanzia katika mmojawapo ya matawi yake makubwa 2 na kuteketeza matunda yake. 1 Hakuna tawi lenye nguvu lililobaki juu yake 2 lifaalo kuwa fimbo ya enzi ya mtawala.’ Hili ndilo ombolezo, na litumike kama ombolezo.”
Hebrews 9:4ambapo palikuwa na yale madhabahu ya dhahabu ya kufukizia uvumba, na lile Sanduku la Agano lililofunikwa kwa dhahabu. Sanduku hili lilikuwa na gudulia la dhahabu lenye mana, ile fimbo ya Aroni iliyochipuka, na vile vibao vya mawe vya Agano.