Numbers 2:12
Kabila la Simeoni watapiga kambi karibu na Reubeni. Kiongozi wa watu wa Simeoni ni Shelumieli mwana wa Surishadai.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Kundi lake lina watu 46,500. 1
13Kundi lake lina watu 59,300. 1
Cross References
Numbers 1:6kutoka Simeoni, ni Shelumieli mwana wa Surishadai; 1
Numbers 7:41maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Shelumieli mwana wa Surishadai.