Numbers 1:6
kutoka Simeoni, ni Shelumieli mwana wa Surishadai; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of Simeon; Shelumiel the son of Zurishaddai.
In Context
5Haya ndiyo majina ya wanaume watakaowasaidia: 1 “kutoka Reubeni, ni Elisuri mwana wa Shedeuri; 1
7kutoka Yuda, ni Nashoni mwana wa Aminadabu; 1
Cross References
Numbers 7:36Siku ya tano Shelumieli mwana wa Surishadai, kiongozi wa watu wa Simeoni, alileta sadaka yake.