Numbers 2:20
Kabila la Manase litafuata baada ya Efraimu. Kiongozi wa watu wa Manase ni Gamalieli mwana wa Pedasuri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Kundi lake lina watu 40,500. 1
21Kundi lake lina watu 32,200. 1
Cross References
Numbers 1:10kutoka wana wa Yosefu: 2 kutoka Efraimu, ni Elishama mwana wa Amihudi; 2 kutoka Manase, ni Gamalieli mwana wa Pedasuri; 1
Numbers 7:59maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Gamalieli mwana wa Pedasuri.