Numbers 2:3
Kwa upande wa mashariki kuelekea mawio ya jua, kambi ya makundi ya Yuda watapiga kambi chini ya alama yao. Kiongozi wa watu wa Yuda ni Nashoni mwana wa Aminadabu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Kundi lake lina watu 74,600. 1
Cross References
Genesis 35:23Wana wa Lea walikuwa: 2 Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, 2 Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari na Zabuloni. 1
Numbers 1:5Haya ndiyo majina ya wanaume watakaowasaidia: 1 “kutoka Reubeni, ni Elisuri mwana wa Shedeuri; 1
Numbers 7:12Yule ambaye alileta sadaka yake siku ya kwanza alikuwa Nashoni, mwana wa Aminadabu, wa kabila la Yuda.
Numbers 10:5Wakati mlio wa kujulisha hatari ukipigwa, makabila yaliyo na makambi upande wa mashariki yataondoka.
Numbers 26:19Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani.
Ruth 4:20Aminadabu akamzaa Nashoni, 1 Nashoni akamzaa Salmoni, 1