Numbers 7:12
Yule ambaye alileta sadaka yake siku ya kwanza alikuwa Nashoni, mwana wa Aminadabu, wa kabila la Yuda.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 35:22Wakati Israeli alipokuwa akiishi katika nchi ile, Reubeni mwanawe alikutana kimwili na suria wa baba yake aitwaye Bilha, naye Israeli akasikia jambo hili. Yakobo alikuwa na wana kumi na wawili: 1
Genesis 49:8“Yuda, ndugu zako watakusifu; 2 mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako; 2 wana wa baba yako watakusujudia. 1
Numbers 1:5Haya ndiyo majina ya wanaume watakaowasaidia: 1 “kutoka Reubeni, ni Elisuri mwana wa Shedeuri; 1
Numbers 2:3Kwa upande wa mashariki kuelekea mawio ya jua, kambi ya makundi ya Yuda watapiga kambi chini ya alama yao. Kiongozi wa watu wa Yuda ni Nashoni mwana wa Aminadabu.
Ruth 4:20Aminadabu akamzaa Nashoni, 1 Nashoni akamzaa Salmoni, 1
Luke 3:32Daudi alikuwa mwana wa Yese, 1 Yese alikuwa mwana wa Obedi, 1 Obedi alikuwa mwana wa Boazi, 1 Boazi alikuwa mwana wa Salmoni, 1 Salmoni alikuwa mwana wa Nashoni, 1