Numbers 22:17
kwa sababu nitakulipa vizuri sana na kufanya lolote usemalo. Njoo unilaanie watu hawa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 22:37Balaki akamwambia Balaamu, “Je, sikukupelekea jumbe za haraka? Kwa nini hukuja kwangu? Hivi kweli mimi siwezi kukulipa?”
Numbers 23:29Balaamu akasema, “Nijengee hapa madhabahu saba, uandae mafahali saba na kondoo dume saba kwa ajili yangu.”
Deuteronomy 16:9Mhesabu majuma saba tangu wakati mnapoanza kuchukua mundu kuvuna nafaka.
Esther 7:9Kisha Harbona, mmoja wa matowashi wanaomtumikia mfalme, akasema, “Mahali pa kuangika watu penye urefu wa mita ishirini na mbili pako nyumbani mwa Hamani. Alikuwa amepatengeneza kwa ajili ya Mordekai, ambaye alizungumza ili kumsaidia mfalme.” Mfalme akasema, “Mwangikeni juu yake!”
Matthew 14:7kiasi kwamba aliahidi kwa kiapo kumpa huyo binti chochote angeomba.