bible.software › Numbers › Numbers 22 › Numbers 22:29
Numbers 22:29
Balaamu akamjibu punda, “Umenifanya mjinga! Kama ningelikuwa na upanga mkononi mwangu, ningelikuua sasa hivi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Balaam said unto the ass, Because thou hast mocked me: I would there were a sword in mine hand, for now would I kill thee.
In Context
28Kisha Bwana akakifungua kinywa cha punda, akamwambia Balaamu, “Nimekutendea nini kinachokufanya unipige mara hizi tatu?”
30Punda akamwambia Balaamu, “Je, mimi si punda wako mwenyewe, ambaye umenipanda siku zote, hadi leo? Je, nimekuwa na tabia ya kufanya hivi kwako?” Akajibu, “Hapana.”
Read all of Numbers 22
Cross References
Proverbs 12:10Mtu mwenye haki hujali mahitaji ya mnyama wake, 2 bali matendo ya huruma ya mwovu ni ukatili. 1
Ecclesiastes 9:3Huu ni ubaya ulio katika kila kitu kinachotendeka chini ya jua: Mwisho unaofanana huwapata wote. Zaidi ya hayo, mioyo ya watu, imejaa ubaya na kuna wazimu mioyoni mwao wangali hai, hatimaye huungana na waliokufa.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 22:29