Mhubiri 9:3
Huu ni ubaya ulio katika kila kitu kinachotendeka chini ya jua: Mwisho unaofanana huwapata wote. Zaidi ya hayo, mioyo ya watu, imejaa ubaya na kuna wazimu mioyoni mwao wangali hai, hatimaye huungana na waliokufa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Yeyote aliye miongoni mwa walio hai analo tumaini, hata mbwa hai ni bora kuliko simba aliyekufa! 1
Cross References
Genesis 8:21Bwana akasikia harufu nzuri ya kupendeza, naye akasema moyoni mwake, “Kamwe sitailaani tena ardhi kwa sababu ya mwanadamu, hata ingawa kila mwelekeo wa moyo wake ni mbaya tangu ujana. Kamwe sitaangamiza tena viumbe hai vyote kama nilivyofanya. 1
Job 15:16sembuse mwanadamu ambaye ni mwovu na mpotovu, 2 ambaye hunywa uovu kama anywavyo maji! 1
Psalms 51:5Hakika mimi nilizaliwa mwenye dhambi, 2 mwenye dhambi tangu nilipotungwa mimba kwa mama yangu. 1
Proverbs 14:32Waovu huangamizwa kwa matendo yao maovu, 2 bali hata katika kifo wenye haki hupata kimbilio. 1
Ecclesiastes 2:14Mtu mwenye hekima ana macho katika kichwa chake, 2 lakini mpumbavu anatembea gizani; 1 lakini nikaja kuona kwamba 2 wote wawili hatima yao inafanana.
Ecclesiastes 8:11Wakati hukumu juu ya tendo ovu haitekelezwi upesi, mioyo ya watu hujaa mipango ya kutenda maovu.