Numbers 22:40
Balaki akatoa dhabihu ya ngʼombe na kondoo; baadhi yake akampa Balaamu na wakuu waliokuwa pamoja naye.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Balak offered oxen and sheep, and sent to Balaam, and to the princes that were with him.
In Context
39Kisha Balaamu alikwenda na Balaki mpaka Kiriath-Husothi.
Cross References
Genesis 31:54Yakobo akatoa dhabihu juu ya kilima na akawaalika jamaa zake kula chakula. Baada ya kula, wakalala huko.
Numbers 23:14Basi akampeleka kwenye shamba la Sofimu, juu ya kilele cha Mlima Pisga. Pale akajenga madhabahu saba na kutoa sadaka ya fahali na kondoo dume mmoja juu ya kila madhabahu.
Proverbs 1:16kwa kuwa miguu yao hukimbilia kwenye dhambi, 2 ni wepesi kumwaga damu. 1