bible.software › Numbers › Numbers 23 › Numbers 23:17
Numbers 23:17
Basi Balaamu akarudi kwa Balaki, akamkuta amesimama kando ya sadaka yake, akiwa na wakuu wa Moabu. Balaki akamuuliza, “Je, Bwana amesema nini?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when he came to him, behold, he stood by his burnt offering, and the princes of Moab with him. And Balak said unto him, What hath the LORD spoken?
In Context
16Bwana akakutana na Balaamu, akaweka ujumbe katika kinywa chake akasema, “Rudi kwa Balaki umpe ujumbe huu.”
18Ndipo Balaamu akasema ujumbe wake: 1 “Balaki, inuka na usikilize, 2 nisikie mimi, wewe mwana wa Sipori. 1
Read all of Numbers 23
Cross References
1 Samuel 3:17Eli akamuuliza, “Ni nini alichokuambia? Usinifiche. Bwana na ashughulike nawe, tena kwa ukali, kama utanificha chochote alichokuambia.”
This Verse In Other Editions
Study Numbers 23:17