Numbers 23:18
Ndipo Balaamu akasema ujumbe wake: 1 “Balaki, inuka na usikilize, 2 nisikie mimi, wewe mwana wa Sipori. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he took up his parable, and said, Rise up, Balak, and hear; hearken unto me, thou son of Zippor:
In Context
Cross References
Judges 3:20Ndipo Ehudi akamsogelea alipokuwa ameketi peke yake kwenye chumba cha juu cha jumba lake la kifalme la majira ya kiangazi, na kusema, “Ninao ujumbe kutoka kwa Mungu kwa ajili yako.” Mfalme alipokuwa anainuka kutoka kwenye kiti chake,