Numbers 23:6
Basi Balaamu akarudi kwa Balaki, akamkuta amesimama kando ya sadaka yake akiwa na wakuu wote wa Moabu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he returned unto him, and, lo, he stood by his burnt sacrifice, he, and all the princes of Moab.
In Context
5Bwana akaweka ujumbe katika kinywa cha Balaamu na kusema, “Rudi kwa Balaki umpe ujumbe huu.”
Cross References
Numbers 3:17Haya yalikuwa majina ya wana wa Lawi: 2 Gershoni, Kohathi na Merari. 1