The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 3 › Numbers 3:17

Numbers 3:17

Haya yalikuwa majina ya wana wa Lawi: 2 Gershoni, Kohathi na Merari. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And these were the sons of Levi by their names; Gershon, and Kohath, and Merari.

In Context

16Kwa hiyo Mose akawahesabu, kama alivyoamriwa na neno la Bwana. 1

18Haya ndiyo yaliyokuwa majina ya koo za Wagershoni: 2 Libni na Shimei. 1

Read all of Numbers 3

Cross References

Exodus 6:16Haya ndiyo majina ya wana wa Lawi kufuatana na orodha zao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137. 1

Numbers 15:5Pamoja na kila mwana-kondoo kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa au dhabihu, andaa robo ya hini ya divai kwa sadaka ya kinywaji.

Numbers 24:1Basi Balaamu alipoona imempendeza Bwana kubariki Israeli, hakuendelea tena kutafuta uchawi kama nyakati nyingine, bali aligeuza uso wake kuelekea nyikani.

Joshua 21:1Basi viongozi wa jamaa ya Walawi, wakamwendea kuhani Eleazari, Yoshua mwana wa Nuni, na viongozi wa jamaa nyingine za makabila ya Israeli

1 Chronicles 6:16Wana wa Lawi walikuwa: 2 Gershoni, Kohathi na Merari. 1

Nehemiah 11:1Basi viongozi wa watu walikaa Yerusalemu, nao watu wale wengine walipiga kura ili kuleta mtu mmoja kati ya watu kumi aje kuishi Yerusalemu, mji mtakatifu, nao wengine tisa waliobaki wakae katika miji yao wenyewe.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 3:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 3:16Numbers 3Numbers 3:18 →