Numbers 24:23
Ndipo akatoa ujumbe wake: 1 “Lo, ni nani atakayeweza kuishi wakati Mungu atakapofanya hili? 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he took up his parable, and said, Alas, who shall live when God doeth this!
In Context
22Hata hivyo ninyi Wakeni mtaangamizwa 2 Ashuru atakapowachukua mateka.”
Cross References
2 Kings 5:1Wakati huu, Naamani alikuwa jemadari wa jeshi la mfalme wa Aramu. Alikuwa mtu mkuu mbele ya bwana wake na aliyeheshimiwa sana, kwa sababu kupitia kwake, Bwana alikuwa amewapa Aramu ushindi. Alikuwa askari shujaa, lakini alikuwa na ukoma. + 5:1 Ukoma ni neno lililotumika kwa Kiebrania kueleza magonjwa mbalimbali ya ngozi ambayo si lazima yawe ni ukoma halisi.