Numbers 24:22
Hata hivyo ninyi Wakeni mtaangamizwa 2 Ashuru atakapowachukua mateka.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Nevertheless the Kenite shall be wasted, until Asshur shall carry thee away captive.
In Context
23Ndipo akatoa ujumbe wake: 1 “Lo, ni nani atakayeweza kuishi wakati Mungu atakapofanya hili? 2
Cross References
Genesis 10:11Kutoka nchi ile alikwenda Ashuru, ambako alijenga Ninawi, Rehoboth-iri, Kala,
Ezra 4:2wakamjia Zerubabeli na viongozi wa jamaa, nao wakasema, “Turuhusuni tuwasaidie kujenga, kwa sababu sisi tunamtafuta Mungu wenu kama ninyi na tumekuwa tukimtolea dhabihu tangu wakati wa Esar-Hadoni mfalme wa Ashuru, aliyetuleta hapa.”
Hosea 14:3Ashuru hawezi kutuokoa, 2 hatutapanda farasi wa vita. 1 Kamwe hatutasema tena ‘Miungu yetu’ 2 kwa kile ambacho mikono yetu wenyewe imetengeneza, 2 kwa kuwa kwako wewe yatima hupata huruma.” 1