Hesabu 26:15
Wazao wa Gadi kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Sifoni, ukoo wa Wasifoni; 1 kutoka kwa Hagi, ukoo wa Wahagi; 1 kutoka kwa Shuni, ukoo wa Washuni; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Hizi ndizo koo za Simeoni; walikuwa 22,200.
16kutoka kwa Ozni, ukoo wa Waozni; 1 kutoka kwa Eri, ukoo wa Waeri; 1
Cross References
Genesis 46:16Wana wa Gadi ni: 2 Sefoni, Hagi, Shuni, Esboni, Eri, Arodi na Areli. 1
1 Chronicles 5:11Wagadi waliishi jirani nao katika nchi ya Bashani, mpaka Saleka. 2