The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 46 › Genesis 46:16

Genesis 46:16

Wana wa Gadi ni: 2 Sefoni, Hagi, Shuni, Esboni, Eri, Arodi na Areli. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the sons of Gad; Ziphion, and Haggi, Shuni, and Ezbon, Eri, and Arodi, and Areli.

In Context

15Hawa ndio wana wa Lea aliomzalia Yakobo huko Padan-Aramu pamoja na binti yake Dina. Jumla ya wanawe na binti zake walikuwa thelathini na watatu. 1

17Wana wa Asheri ni: 2 Imna, Ishva, Ishvi na Beria. 2 Dada yao alikuwa Sera. 2 Wana wa Beria ni: 2 Heberi na Malkieli.

Read all of Genesis 46

Cross References

Genesis 30:11Ndipo Lea akasema, “Hii ni bahati nzuri aje!” Kwa hiyo akamwita Gadi.

Genesis 49:19“Gadi atashambuliwa ghafula na kundi la washambuliaji, 2 lakini yeye atawageukia na kuwashinda kabisa. 1

Numbers 1:24Kutoka wazao wa Gadi: 2 Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.

Numbers 26:16kutoka kwa Ozni, ukoo wa Waozni; 1 kutoka kwa Eri, ukoo wa Waeri; 1

Deuteronomy 33:20Kuhusu Gadi akasema: 1 “Atabarikiwa yeye aongezaye milki ya Gadi! 2 Gadi huishi huko kama simba, 2 akirarua kwenye mkono au kichwa. 1

1 Chronicles 5:11Wagadi waliishi jirani nao katika nchi ya Bashani, mpaka Saleka. 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 46:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 46:15Genesis 46Genesis 46:17 →