Numbers 26:23
Wazao wa Isakari kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Tola, ukoo wa Watola; 1 kutoka kwa Puva, ukoo wa Wapuva; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Hizi ndizo zilizokuwa koo za Yuda; wale waliohesabiwa walikuwa 76,500.
24kutoka kwa Yashubu, ukoo wa Wayashubu; 1 kutoka kwa Shimroni, ukoo wa Washimroni.
Cross References
Genesis 30:17Mungu akamsikiliza Lea, naye akapata mimba akamzalia Yakobo mwana wa tano.
Numbers 2:5Kabila la Isakari watapiga kambi karibu na Yuda. Kiongozi wa watu wa Isakari ni Nethaneli mwana wa Suari.