Numbers 26:35
Hawa walikuwa wazao wa Efraimu kwa koo zao: 1 kutoka kwa Shuthela, ukoo wa Washuthela; 1 kutoka kwa Bekeri, ukoo wa Wabekeri; 1 kutoka kwa Tahani, ukoo wa Watahani; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
34Hizi ndizo zilizokuwa koo za Manase; wale waliohesabiwa walikuwa 52,700.
36Hawa ndio walikuwa wazao wa Shuthela: 2 kutoka kwa Erani, ukoo wa Waerani.