bible.software › Numbers › Numbers 26 › Numbers 26:34
Numbers 26:34
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Manase; wale waliohesabiwa walikuwa 52,700.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
These are the families of Manasseh, and those that were numbered of them, fifty and two thousand and seven hundred.
In Context
33(Selofehadi mwana wa Heferi hakuzaa wana, bali alikuwa na watoto wa kike tu, ambao majina yao yalikuwa Mahla, Noa, Hogla, Milka na Tirsa.)
35Hawa walikuwa wazao wa Efraimu kwa koo zao: 1 kutoka kwa Shuthela, ukoo wa Washuthela; 1 kutoka kwa Bekeri, ukoo wa Wabekeri; 1 kutoka kwa Tahani, ukoo wa Watahani; 1
Read all of Numbers 26
Cross References
Genesis 48:16Malaika ambaye aliniokoa kutoka madhara yote, 2 yeye na awabariki vijana hawa. 1 Na waitwe kwa jina langu 2 na kwa majina ya baba zangu Abrahamu na Isaki, 1 wao na waongezeke kwa wingi 2 katika dunia.”
Numbers 2:20Kabila la Manase litafuata baada ya Efraimu. Kiongozi wa watu wa Manase ni Gamalieli mwana wa Pedasuri.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 26:34