Numbers 26:44
Wazao wa Asheri kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Imna, ukoo wa Waimna; 1 kutoka kwa Ishvi, ukoo wa Waishvi; 1 kutoka kwa Beria, ukoo wa Waberia; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
43Wote walikuwa koo za Washuhamu; wale waliohesabiwa walikuwa 64,400.
Cross References
1 Chronicles 7:30Wana wa Asheri walikuwa: 2 Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera. 1