bible.software › Hesabu › Hesabu 26 › Hesabu 26:43
Hesabu 26:43
Wote walikuwa koo za Washuhamu; wale waliohesabiwa walikuwa 64,400.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All the families of the Shuhamites, according to those that were numbered of them, were threescore and four thousand and four hundred.
In Context
42Hawa ndio waliokuwa wazao wa Dani kwa koo zao: 1 kutoka kwa Shuhamu, ukoo wa Washuhamu. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Dani:
44Wazao wa Asheri kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Imna, ukoo wa Waimna; 1 kutoka kwa Ishvi, ukoo wa Waishvi; 1 kutoka kwa Beria, ukoo wa Waberia; 1
Read all of Hesabu 26
Cross References
Numbers 2:25Upande wa kaskazini kutakuwa na makundi ya kambi ya Dani, chini ya alama yao. Kiongozi wa watu wa Dani ni Ahiezeri mwana wa Amishadai.
This Verse In Other Editions
Study Hesabu 26:43