bible.software › Numbers › Numbers 26 › Numbers 26:56
Numbers 26:56
Kila urithi utagawanywa kwa kura miongoni mwa makundi makubwa na madogo.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
According to the lot shall the possession thereof be divided between many and few.
In Context
55Hakikisha kuwa nchi inagawanywa kwa kura. Kile kitakachorithiwa na kila kikundi kitakuwa kwa kulingana na majina ya kabila la babu yao.
57Hawa walikuwa Walawi ambao walihesabiwa kwa koo zao: 1 kutoka kwa Gershoni, ukoo wa Wagershoni; 1 kutoka kwa Kohathi, ukoo wa Wakohathi; 1 kutoka kwa Merari, ukoo wa Wamerari. 1
Read all of Numbers 26
Cross References
1 Corinthians 12:4Kuna aina mbalimbali za karama, lakini Roho ni yule yule.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 26:56