Numbers 26:57
Hawa walikuwa Walawi ambao walihesabiwa kwa koo zao: 1 kutoka kwa Gershoni, ukoo wa Wagershoni; 1 kutoka kwa Kohathi, ukoo wa Wakohathi; 1 kutoka kwa Merari, ukoo wa Wamerari. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
56Kila urithi utagawanywa kwa kura miongoni mwa makundi makubwa na madogo.”
Cross References
Exodus 6:16Haya ndiyo majina ya wana wa Lawi kufuatana na orodha zao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137. 1
Numbers 3:1Hii ni hesabu ya jamaa ya Aroni na Mose kwa wakati ambao Bwana alizungumza na Mose katika Mlima Sinai.
Numbers 3:17Haya yalikuwa majina ya wana wa Lawi: 2 Gershoni, Kohathi na Merari. 1
1 Chronicles 6:1Wana wa Lawi walikuwa: 2 Gershoni, Kohathi na Merari. 1