Numbers 26:59
jina la mke wa Amramu ni Yokebedi, naye pia alikuwa mzao wa Lawi, ambaye alizaliwa kwa Walawi nchini Misri. Alimzalia Amramu: Aroni, Mose na dada yao Miriamu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
60Aroni alikuwa baba yake Nadabu na Abihu, Eleazari na Ithamari.
Cross References
Exodus 2:2naye mwanamke huyo akapata mimba, akazaa mtoto wa kiume. Alipoona mtoto huyo ni mzuri, akamficha kwa miezi mitatu.
Exodus 6:20Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137. 1
Leviticus 18:12“ ‘Usikutane kimwili na dada wa baba yako; ni ndugu wa karibu wa baba yako.
Numbers 20:1Katika mwezi wa kwanza jumuiya yote ya Kiisraeli ilifika kwenye Jangwa la Sini, nao wakakaa Kadeshi. Miriamu akafa huko na kuzikwa.