The Bible Software
bible.software › Hesabu › Hesabu 26 › Hesabu 26:58

Hesabu 26:58

Hizi pia zilikuwa koo za Walawi: 1 ukoo wa Walibni; 1 ukoo wa Wahebroni; 1 ukoo wa Wamahli; 1 ukoo wa Wamushi; 1 ukoo wa wana wa Kora. 4 (Kohathi alikuwa baba aliyemzaa Amramu;

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

These are the families of the Levites: the family of the Libnites, the family of the Hebronites, the family of the Mahlites, the family of the Mushites, the family of the Korathites. And Kohath begat Amram.

In Context

57Hawa walikuwa Walawi ambao walihesabiwa kwa koo zao: 1 kutoka kwa Gershoni, ukoo wa Wagershoni; 1 kutoka kwa Kohathi, ukoo wa Wakohathi; 1 kutoka kwa Merari, ukoo wa Wamerari. 1

59jina la mke wa Amramu ni Yokebedi, naye pia alikuwa mzao wa Lawi, ambaye alizaliwa kwa Walawi nchini Misri. Alimzalia Amramu: Aroni, Mose na dada yao Miriamu.

Read all of Hesabu 26

Cross References

Exodus 6:20Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137. 1

Numbers 16:1Kora mwana wa Ishari, mwana wa Kohathi, mwana wa Lawi, pamoja na baadhi ya Wareubeni, yaani Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu, na Oni mwana wa Pelethi, wakachukua baadhi ya watu,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hesabu 26:58

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hesabu 26:57Hesabu 26Hesabu 26:59 →