The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 29 › Numbers 29:17

Numbers 29:17

“ ‘Katika siku ya pili andaeni mafahali wachanga kumi na wawili, kondoo dume wawili, na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And on the second day ye shall offer twelve young bullocks, two rams, fourteen lambs of the first year without spot:

In Context

16Ongeza beberu mmoja kama sadaka ya dhambi, kwa nyongeza ya sadaka ya kawaida ya kuteketezwa, na sadaka yake ya nafaka, pamoja na sadaka ya vinywaji.

18Pamoja na mafahali, kondoo dume, na wana-kondoo, andaeni sadaka zao za nafaka na sadaka za vinywaji, kulingana na idadi iliyoainishwa.

Read all of Numbers 29

Cross References

Numbers 29:13Toeni sadaka ya kuteketezwa mafahali wachanga kumi na watatu, kondoo dume wawili, na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari, kama harufu nzuri inayompendeza Bwana.

Psalms 40:6Dhabihu na sadaka hukuvitaka, 2 lakini umefungua masikio yangu; + 40:6 Au: bali mwili uliniandalia. 1 sadaka za kuteketezwa na sadaka za dhambi 2 hukuzihitaji. 1

Psalms 51:16Wewe hupendezwi na dhabihu, au ningaliileta, 2 hufurahii sadaka za kuteketezwa. 1

Isaiah 1:11Bwana anasema, “Wingi wa sadaka zenu, 2 ni kitu gani kwangu? 1 Ninazo sadaka za kuteketezwa nyingi kupita kiasi, 2 za kondoo dume na mafuta ya wanyama walionona. 1 Sipendezwi na damu za mafahali 2 wala za wana-kondoo na mbuzi. 1

Hosea 6:6Kwa maana nataka rehema, wala si dhabihu, 2 kumkubali Mungu zaidi 2 kuliko sadaka za kuteketezwa. 1

Hebrews 8:13Kwa kuliita agano hili “jipya,” Mungu amefanya lile agano la kwanza kuwa kuukuu; nacho kitu kinachoanza kuchakaa na kuwa kikuukuu kiko karibu kutoweka.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 29:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 29:16Numbers 29Numbers 29:18 →