Numbers 29:20
“ ‘Katika siku ya tatu andaeni mafahali wachanga kumi na wawili, kondoo dume wawili, na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And on the third day eleven bullocks, two rams, fourteen lambs of the first year without blemish;
In Context
Cross References
Numbers 29:17“ ‘Katika siku ya pili andaeni mafahali wachanga kumi na wawili, kondoo dume wawili, na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.