bible.software › Numbers › Numbers 29 › Numbers 29:23
Numbers 29:23
“ ‘Katika siku ya nne andaeni mafahali wachanga kumi na wawili, kondoo dume wawili, na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And on the fourth day ten bullocks, two rams, and fourteen lambs of the first year without blemish:
In Context
22Weka beberu mmoja kama sadaka ya dhambi, kwa nyongeza ya kawaida ya sadaka ya kuteketezwa, na sadaka yake ya nafaka, pamoja na sadaka zao za vinywaji.
24Pamoja na mafahali, kondoo dume, na wana-kondoo, andaeni sadaka zao za nafaka na sadaka za vinywaji, kulingana na idadi iliyoainishwa.
Read all of Numbers 29
This Verse In Other Editions
Study Numbers 29:23