The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 29 › Numbers 29:22

Numbers 29:22

Weka beberu mmoja kama sadaka ya dhambi, kwa nyongeza ya kawaida ya sadaka ya kuteketezwa, na sadaka yake ya nafaka, pamoja na sadaka zao za vinywaji.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And one goat for a sin offering; beside the continual burnt offering, and his meat offering, and his drink offering.

In Context

21Pamoja na mafahali, kondoo dume, na wana-kondoo, andaeni sadaka zao za nafaka na sadaka za vinywaji, kulingana na idadi iliyoainishwa.

23“ ‘Katika siku ya nne andaeni mafahali wachanga kumi na wawili, kondoo dume wawili, na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.

Read all of Numbers 29

Cross References

Joel 1:9Sadaka za nafaka na sadaka za kinywaji 2 zimekatiliwa mbali kutoka nyumba ya Bwana. 1 Makuhani wanaomboleza, 2 wale wanaohudumu mbele za Bwana. 1

Joel 2:14Ni nani ajuaye? Yeye aweza kugeuka na kuwa na huruma 2 na kuacha baraka nyuma yake: 1 sadaka za nafaka na sadaka za vinywaji 2 kwa ajili ya Bwana Mungu wenu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 29:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 29:21Numbers 29Numbers 29:23 →