bible.software › Hesabu › Hesabu 29 › Hesabu 29:31
Hesabu 29:31
Weka beberu mmoja kama sadaka ya dhambi, kwa nyongeza ya kawaida ya sadaka ya kuteketezwa, na sadaka yake ya nafaka, pamoja na sadaka zao za vinywaji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And one goat for a sin offering; beside the continual burnt offering, his meat offering, and his drink offering.
In Context
30Pamoja na mafahali, kondoo dume, na wana-kondoo, andaeni sadaka zao za nafaka na sadaka za vinywaji, kulingana na idadi iliyoainishwa.
32“ ‘Katika siku ya saba andaeni mafahali wachanga kumi na wawili, kondoo dume wawili, na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.
Read all of Hesabu 29
Cross References
Numbers 28:10Hii ni sadaka ya kuteketezwa itakayotolewa kwa ajili ya kila Sabato, pamoja na sadaka ya kawaida ya kuteketezwa na sadaka yake ya kinywaji. 1 Sadaka Za Kila Mwezi
This Verse In Other Editions
Study Hesabu 29:31