Numbers 28:10
Hii ni sadaka ya kuteketezwa itakayotolewa kwa ajili ya kila Sabato, pamoja na sadaka ya kawaida ya kuteketezwa na sadaka yake ya kinywaji. 1 Sadaka Za Kila Mwezi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 28:23Andaa hizi licha ya zile sadaka za kawaida za kuteketezwa za kila asubuhi.
Numbers 29:11Ongeza beberu mmoja kama sadaka ya dhambi, katika nyongeza ya sadaka ya dhambi kwa ajili ya upatanisho, na sadaka ya kawaida ya kuteketezwa pamoja na sadaka yake ya nafaka, na sadaka zake za vinywaji. 1 Sikukuu Ya Vibanda (Walawi 23:33-44)
Numbers 29:19Weka beberu mmoja kama sadaka ya dhambi, kwa nyongeza ya kawaida ya sadaka ya kuteketezwa, na sadaka yake ya nafaka, pamoja na sadaka zao za vinywaji.
Numbers 29:25Weka beberu mmoja kama sadaka ya dhambi, kwa nyongeza ya kawaida ya sadaka ya kuteketezwa, na sadaka yake ya nafaka, pamoja na sadaka zao za vinywaji.
Numbers 29:34Weka beberu mmoja kama sadaka ya dhambi, kwa nyongeza ya kawaida ya sadaka ya kuteketezwa, na sadaka yake ya nafaka, pamoja na sadaka zao za vinywaji.
Isaiah 1:13Acheni kuniletea sadaka zisizokuwa na maana! 2 Uvumba wenu ni chukizo kwangu. 1 Miandamo ya Mwezi, Sabato na makusanyiko ya ibada: 2 siwezi kuvumilia makusanyiko yenu maovu. 1