The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 3 › Numbers 3:15

Numbers 3:15

“Wahesabu Walawi kwa jamaa zao na koo zao. Mhesabu kila mwanaume mwenye umri wa mwezi mmoja au zaidi.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Number the children of Levi after the house of their fathers, by their families: every male from a month old and upward shalt thou number them.

In Context

14Bwana akamwambia Mose katika Jangwa la Sinai,

16Kwa hiyo Mose akawahesabu, kama alivyoamriwa na neno la Bwana. 1

Read all of Numbers 3

Cross References

Numbers 1:47Hata hivyo, jamaa ya kabila la Lawi hawakuhesabiwa pamoja na wengine.

Numbers 3:28Hesabu ya waume wote wenye mwezi mmoja au zaidi ilikuwa watu 8,600. Wakohathi waliwajibika kutunza mahali patakatifu.

Numbers 3:39Jumla ya hesabu ya Walawi waliohesabiwa na Mose na Aroni kwa amri ya Bwana, kufuatana na koo, pamoja na kila mume mwenye umri wa mwezi mmoja au zaidi, walikuwa 22,000.

Numbers 3:43Jumla ya hesabu ya wazaliwa wa kwanza waume wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi, walioorodheshwa kwa majina, walikuwa 22,273.

Numbers 26:57Hawa walikuwa Walawi ambao walihesabiwa kwa koo zao: 1 kutoka kwa Gershoni, ukoo wa Wagershoni; 1 kutoka kwa Kohathi, ukoo wa Wakohathi; 1 kutoka kwa Merari, ukoo wa Wamerari. 1

2 Chronicles 31:17Kuandikishwa kwa makuhani kulikuwa kwa kufuata chimbuko la nyumba za baba zao na Walawi kuanzia umri wa miaka ishirini au zaidi ilikuwa kufuatana na huduma zao, kwa migawanyo yao.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 3:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 3:14Numbers 3Numbers 3:16 →