Numbers 3:21
Kulikuwa na koo za Walibni na Washimei kwa Gershoni; hizi ndizo zilizokuwa koo za Wagershoni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Idadi ya waume wote waliokuwa na mwezi mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 7,500.
Cross References
Numbers 3:18Haya ndiyo yaliyokuwa majina ya koo za Wagershoni: 2 Libni na Shimei. 1
Joshua 21:6Wazao wa Gershoni walipewa miji kumi na mitatu kutoka koo za makabila ya Isakari, Asheri, Naftali na nusu ya Manase huko Bashani.
Zechariah 12:13ukoo wa nyumba ya Lawi na wake zao, ukoo wa Shimei na wake zao,