bible.software › Numbers › Numbers 3 › Numbers 3:26
Numbers 3:26
mapazia ya ua, pazia katika ingilio la ua unaozunguka Maskani na madhabahu, pamoja na kamba, na kila kinachohusika kwa matumizi yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the hangings of the court, and the curtain for the door of the court, which is by the tabernacle, and by the altar round about, and the cords of it for all the service thereof.
In Context
25Katika Hema la Kukutania, Wagershoni walikuwa na wajibu wa kutunza Maskani na hema, vifuniko vyake, pazia katika mlango wa kuingilia ndani ya Hema la Kukutania,
27Kwa Kohathi kulikuwepo koo za Waamramu, Waishari, Wahebroni na Wauzieli; hizi ndizo zilizokuwa koo za Wakohathi.
Read all of Numbers 3
Cross References
Exodus 35:18vigingi vya hema kwa ajili ya maskani pamoja na ua na kamba zake;
Numbers 4:24“Hii ndiyo huduma ya koo za Wagershoni wakati wanapofanya kazi na kubeba mizigo.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 3:26